ACHA TABIA HIZI KUHUSU HELA -JINSI YA KUGEUZA TABIA ZAKO ZA FEDHA: HATUA KWA HATUA KU SAVE ZAIDI
Je, unataka kujifunza jinsi ya kuboresha tabia zako za fedha na kuokoa zaidi? Katika video hii, tutachambua tabia mbalimbali ambazo zinaweza kukuzuia kuokoa pesa na kutoa mbinu za jinsi ya kuziepuka. Jiunge nasi ili ujifunze mbinu bora za kuhifadhi hela yako na kuweka akiba kwa ajili ya siku zijazo!
