[ Ссылка ]
Baadhi ya watoto wanaopelekwa hospitalini wakiwa wamezaliwa na ulemavua upungufu mmoja au mwengine hutelekezwa na wazazi wao kwani wanatizamwa kama wenye kuleta aibu au wasumbufu kwao . Katika hospitali kuu ya Kenyatta KTN imebaini kuwa kunao zaidi ya watoto watano wanaoachwa kila mara na wazazi baada ya kuonekana kuwa na hali mbaya ya kiafya . Agnes penda alizuru hospitali hiyo na kutuandalia taarifa kuhusu watoto hao ambao wamesalia bila walezi .
Ещё видео!