Geita. "Mume wangu alipoteza maisha 1998, mtoto wangu wa tatu akafa mwaka 1999 hali yangu ilikua mbaya sana mwili ulidhoofika, nikawa na upele kila mahali, nywele zote kichwani zilinyonyoka, kikawa kimejaa vidonda na nilikua natokewa na mkanda wa jeshi mara kwa mara hata sikuweza kumzika mwanangu." Ndivyo anavyoanza kusimulia Mchungaji, Ester Mhangwa wa Kanisa la TAG, lililopo Kijiji cha Chabulongo Kata ya Kasamwa Mjini Geita, anayeishi na VVU kwa miaka 39 huku akiendelea Iwamini katika nouva va dawa za kufubaza maambukizi ya virusi vya ukimwi.
Ещё видео!