Trakoma ni mojawapo ya magonjwa ambayo bado yamekithiri katika maeneo kame huku ikionekana kwamba licha ya hamasisho zinazotolewa, bado ni changamoto kwa wenyeji wa maeneo hayo. Juliet Kabugi ambaye ni mtaalamu wa magonjwa ya macho katika kituo cha matibabu cha Equity Afia Narok anafananua mengi kuhusu ugonjwa huo ambao madhara yake ni makubwa kwa afya ya macho ya binadamu.
Ещё видео!