VIBOKO wa DAWA za KULEVYA WALIONASWA DAR Wafikishwa MAHAKAMANI LEO...
Raia wa Nigeria, David Chukwu (38) Mkazi wa Masaki na wenzake wawili raia wa Tanzania waliokamatwa na Dawa za kulevya aina ya Heroin kilogramu 268.50, wamefikishwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu wakikabiliwa na shtaka la kusafirisha dawa za kulevya na kutakatisha zaidi ya sh. Milioni 150.
Mbali na Chukwu washtakiwa wengine ni Isso Lupembe (49) mkazi wa Mbezi Luis na Allistair Mbele (38) anayeishi Mbezi Kibanda cha Mkaa.
Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
ANDROID:[ Ссылка ]
iOS:[ Ссылка ]
UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE
(+255 784 888982)
(+255 676 229628)
Email: globaltvbest@gmail.com
abbymrisho@gmail.com
HABARI MPYA DAILY:
[ Ссылка ]
HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA:
[ Ссылка ]
GLOBAL RADIO TV:
[ Ссылка ]
EXCLUSIVE INTERVIEW:
[ Ссылка ]
Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania
[ Ссылка ]
Ещё видео!