Rais mteule wa Marekani, Donald Trump amemtangaza bilionea, Ellon Musk na aliyewahi kugombea urais wa nchi hiyo, Vivek Ramaswamy kusimamia idara mpya ya ufanisi wa serikali.
Trump amesema Musk na Ramaswamy watafungua njia kwa utawala wake ya kuondokana na urasimu wa serikali, kupunguza kanuni za ziada, kuondosha ubadhirifu wa matumizi na kuyarekebisha mashirika ya serikali kuu.
#AzamTVUpdates
@official_jennifersumi
Ещё видео!