Rais Samia Suluhu Hassan ameridhia vijiji 67 vilivyokuwemo maeneo ya hifadhi katika mkoa wa Morogoro, kubaki ili kuwawezesha wananchi wake kuendelea na shughuli zao bila matatizo.
Hatua hiyo ya Rais Samia ni juhudi za serikali kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 975 nchini.
Ещё видео!