KIJITONYAMA LUTHERAN CHURCH: *IBADA YA JUMAPILI YA KUSIFU NA KUABUDU 03/ 11/ 2024*
UJUMBE WA LEO: *KWAAJILI YA HAKI*
*BECAUSE OF RIGHTEOUSNESS*
*Mathayo 5 : 9 - 10*
9 Heri wapatanishi; Maana hao wataitwa wana wa Mungu.
10 Heri wenye kuudhiwa kwa ajili ya haki; Maana ufalme wa mbinguni ni wao.
Mhubiri: *Rev. Dr. Eliona Kimaro*
Kwa maombi na ushauri :
Mch. Kiongozi: *Dr. Eliona Kimaro*
Simu: +255 655 516 053, +255 754 516 053
Ещё видео!