Kanisa Takatifu Katoliki la Mitume (RC) duniani kote, leo Juni 11, 2023 linasherekea MWILI NA DAMU YA BWANA WETU YESU KRISTO.
Sherehe hiyo inaambatana na maandamano ya kutembeza Ekaristi Takatifu sehemu mbalimbali, ikiwemo mijini na vijijini (Kanisani kwenda mitaani na kisha kumalizia Kanisani).
Katika kutekeleza wajibu huo, waamini wa Kanisa Katoliki Parokia ya Mtakatifu Vincenti wa Paulo, Kibamba, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, wamefanya maandamano kama inavyoonekana katika video hii.
#eucharist #holyeucharisticadoration #yesu #katoliko #kibamba #vincent
Ещё видео!