Huu ni wimbo maalumu kwa ajili ya kumsifu Mungu ukizingatia maudhui yote ya kiliturujia na waweza kutumika katika shukrani wakati wa ibada ya misa takatifu. Wimbo huu umetungwa na Frt. Peter Ammi kutoka Kibosho seminari
KWAYA: ST FRANCISCO OF ASSISI TIA (SFAT) CHOIR
WIMBO: ASANTE MUNGU
MTUNZI: FRT. PETER AMMI (KIBOSHO SEMINARI)
YEAR: 2021
AUDIO AND VIDEO: STUDIO GALAXY PRO
ORGANIST: MATHIAS MSAFIRI
Kwa mawasiliano zaidi
+255 625 865 606 MWENYEKITI SFAT CHOIR
+255 742 955 175 KATIBU SFAT CHOIR
Ещё видео!