Tazama jinsi Rais Magufuli alivyofungua mkutano wa 11 wa Baraza la Taifa la Biashara unaofanyika leo (19/03/2018) Ikulu Jijini Dar es Salaam. Mgeni rasmi ni Rais Magufuli, Wajumbe wa mkutano huo ni wawakilishi wa wafanyabiashara na wawekezaji nchini.
Rais Magufuli ambaye ndiye mwenyekiti wa baraza hilo, amewataka wafanyabiashara wote wafunguke kero na vikwazo vinavyowakabili katika biashara
Ещё видео!