Kwaya Mt.Don Bosco Nzvwe Mbeya.Wimbo huu unafaa sana nyakati za Harusi.Melodia yake inavutia na ya kufurahisha ukiitazama na kuisikiliza.Mtunzi Kamugisha anatukumbusha kuwapokea maharusi kwa furaha na kudumisha upendo huo nyakati zote za uhai wa Maharusi.Sio siku ya harusi tuu bali hadi watakapotenganishwa na kiapo walichoapa mbele ya Madhabahu.Karibu uangalie na kusikiliza utaalam wa kucheza,Kinanda na kuimba.
Ещё видео!