Kuna wakati mwanadamu unapitia matatizo au majaribu makubwa sana mpaka inafikia hatua ya kukata tamaa na kuona maisha yako yameishia hapo,
lakini acha nikwambie leo kuwa katika yote unayopitia haijarishi ni magumu kiasi gani jua kuwa IPO NEEMA YA MUNGU juu yako,
Usivunjike moyo usikate tamaa maana ushindi ni haki yako..
kwa kupigwa kwake Yesu sisi tumeponaa, ona ushindi tu mbele yako usione kushindwa katika jina la Yesu.
Ещё видео!