Jeshi la Wanachi wa Tanzania (JWTZ) Kamandi ya Wanamaji kwa kushirikiana na Kamandi nyingine wamefanya zoezi maalum la kujiandaa, kujihami na kujiweka tayari, Jijini Dar es salaam.
Zoezi hilo ambalo limehusisha kukikomboa kisiwa cha mzia ambacho kilikaliwa na Maadui limeshuhudiwa na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Jacob Mkunda.
Ещё видео!