HUKUMU YAKUNYONGWA YAWALIZA WENGI
Sakata la watanzania wawili ambao ni mke na mume kukamatwa na dawa za kulevya 'unga' nchini china na mtoto wao kurudishwa Bongo, limeingia sura mpya baada ya familia za pande zote mbili kuzungumza na siri ya safari yao kufichuka.
Wakazi wa magomeni jijini Dar es salaam, Baraka Malali na mkewe Ashura Musa walikamatwa januari 19 mwaka huu kwenye uwanja wa ndege, Baiyun jijini Guangzhou China, wakiwa wamemeza jumla ya pipi 129 za Dawa za kulevya zilizosadikika kuwa ni heroin, mume alipakia pipi 47 na mkewe pipi 82.
Install #GlobalPublishersApp Android: [ Ссылка ] iOS: [ Ссылка ] Subscribe [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] Visit [ Ссылка ], Subscribe [ Ссылка ] kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… [ Ссылка ] [ Ссылка ] [ Ссылка ] WEBSITE: [ Ссылка ] FACEBOOK: [ Ссылка ]... TWITTER: [ Ссылка ] INSTAGRAM: [ Ссылка ]..
Ещё видео!