Programu maalum ya KIUFUNZA inayoratibiwa na shirika lisilo la kiserikali ya TWAWEZA ni moja ya mkakati wa kuongeza ufanisi wa ufundishaji na utoaji maarifa kwa wanafunzi.
Walimu ambao masomo yao hupata ufaulu mkubwa kutoka kwa wanafunzi huzawadiwa ikiwa ni sehemu ya motisha ya kuwahamasisha kuongeza bidii zaidi kazini.
Je, ni lazima zawadi hii iwe fedha taslimu? Ungana na Faraja Sendegeya kwenye UFUNGUO kufahamu zaidi.
Ещё видео!