Thank You so much for watching. I appreciate You. Please subscribe, Like, Share and leave a comment for me will you? Thank you.
Alhamisi Kuu Psalms Lyrics: ZABURI 116:12-13, 15-18, K(1KOR 10:16)
KIKOMBE KILE CHA BARAKA TUKIBARIKICHO . JE! SI USHIRIKA WA DAMU YA KRISTO.
Nimrudishie Bwana nini,
kwa ukarimu wake wote alionitendea?
Nitakipokea kikombe cha wokovu,
Na kulitangaza jina la Bwana.
Ina thamani machoni pa Bwana,
Mauti ya wacha Mungu wake,
Ee Bwana, hakika mimi ni mtumishi wako,
Mtumishi wako, mwana na mjakazi wako.
Umevifungua vifungo vyangu.
Nitakutolea dhabihu ya kushukuru;
Na kulitangaza jina la Bwana;
Nitaziondoa nadhiri zangu kwa Bwana,
Naam, mbele ya watu wake wote.
If you would like to follow me on social media.. Please see links below:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!