Kiongozi ni mtu ambaye huongoza kikundi cha watu[1]. Mara nyingi kiongozi hupewa heshima ya juu katika jamii, kikundi cha watu au katika familia ambapo huheshimiwa na watu wote katika eneo husika analolisimamia kiongozi kwa ajili ya kuwaongoza watu.
Pia familia huweza kuwa na kiongozi wa ukoo ambapo bibi na babu huwa viongozi wa juu katika ukoo.
Ili uweze kupata update nyingi usisahau kubonyeza kitufe chekundu chenye neno SUBSCRIBE na alama ya kengele kama bado hujafanya hivyo pia share, like na dondosha comment yako tutahakikisha tunakupatia taarifa kedekede na zenye uhakika.
Ещё видео!