Wadau wa elimu wameitaka serikali na chama cha upinzani kutafuta suluhu kwa maandamano wakisema kuwa wanafunzi wengi hawakuripoti shuleni Jumatatu, Machi 20, baada ya mapumziko ya nusu muhula huku baadhi ya shule za bweni zikiahirisha tarehe ya kufungua tena.
Subscribe to NTV Kenya channel for latest Kenyan news today and everyday. Get the Kenya news updates, discussions and other exciting shows.
Website: ntvkenya.co.ke || Paper: Daily Nation || Twitter: @ntvkenya || Facebook: NTV Kenya || Instagram: NTV Kenya
[ Ссылка ]
Ещё видео!