Tazama highlights kutoka ligi kuu ya Zanzibar,,, timu ya Black Sailor ikiitandika Yosso Boys mabao 3-1, mechi ikipigwa Mei 21 mwaka huu kwenye Uwanja wa Amaan, Zanzibar.
Magoli ya Black Sailor kwenye mchezo huu yamefungwa na Mustafa Simai dakika ya 7 na 47 pamoja na Mudathir Juma dakika ya 88 huku bao la kufutia machozi kwa Yosso Boys likifungwa na Nassir Said dakika ya 64.
Ещё видео!