BWANA YESU asifiwe, karibu na ahsante kwa kujumuika nasi katika ibada njema, ya kipekee ya KUFUNGUA MWAKA 2025 NA KUUWEKA WAKFU inayokujia leo Jumapili ya tarehe 05 Januari 2025 mubashara kutoka Heart of Worship Ministry HQ Mbezi Beach Dar Es Salaam.
Ibada hii ina kichwa cha somo, "KUWA JUU NA KUTUKUZWA KILA UPANDE" na kuongozwa na mtumishi wa Mungu Amoke Nkonoki.
Ещё видео!