Grace ametuelezea experience yake ya kuishi Ujerumani miaka 12, aliingia Ujerumani kwa njia ya AuPair
Ameeleza maana ya AuPair pia.
Changamoto ya uzazi na ulezi Ujerumani, kupata Mzungu sio kufanikiwa na kufika Ulaya sio kua tajiri.
Unaweza mfollow kwa Instagram yake @gracious.wibabara
Thank you Grace for allowing this to be online
www.oda.international
Ещё видео!