“Kiongozi wa Algeria atawakabidhi komnbe Yanga” – Rais wa TFF Wallace Karia, aipongeza Yanga kwa kuwa timu ya pili kufika fainali ya michuano ya CAF akisema Yanga watakwenda kulichukua kombe hilo nchini Algeria.
Ni katika tukio kubwa la uzinduzi wa minara ya mfumo wa urushaji wa matangazo ya televisheni ya Azam Media Limited kwa kutumia antenna (DTT)
TUKO Mbashara kupitia chaneli ya UTV, Youtube, Facebook na Twitter.
Ещё видео!