Matukio ya Picha : Yaliyojiri katika Adhimisho la Misa ya Daraja Takatifu ya Ushemasi na Upadre, Parokia ya Mt. Francisko wa Sales - Mkuza Jimbo Kuu la Dar es Salaam.
Askofu Mkuu Jude Thaddaeus Ruwa'ichi ametoa Ushemasi kwa Mafrateri wa nne (4) pamoja na Sakramenti ya Daraja Takatifu ya Upadre kwa Mashemasi Nane (8) wa Shirika la Wamisionari wa Mt. Francisko wa Sales
Mafrateri waliopata Ushemasi :
1. Bro. Wasswa Brian
2. Bro. Ambongo Joseph
3. Bro. Lubega Gonzaga
4. Bro. Fabian Wasonga
Mashemasi wanaopata Daraja ya Upadre :
1. Shemasi Patropio Mungola
2. Shemasi Michael Mwangi
3. Shemasi Ssentamu Ruthitical
4. Shemasi Richard Tamaro
5. Shemasi Francis Indumuli
6. Shemasi Leonard Musembi
7. Shemasi Dennis Dindi
8. Shemasi Gregory Mutisya. #TuiombeeMiitoMitakatifu
#RadioMariaTz #jugomedia @jugo_media
Tafadhari Subscribe, Like, Comment na Share tone hili la upendo kwa ndugu jamaa na marafiki.
Jumuika nasi katika mitandao mingine ya Kijamii:
Instagram: [ Ссылка ]
Facebook: [ Ссылка ]
Mawasiliano:
JUGO MEDIA,
Sokoine Drive, Posta
P. O. BOX 34014,
Dar es Salaam.
For Bookings and other Enquiries
Phone Number +255757560764/657790405
#jugomedia #kanisakatoliki #familiatakatifu #wawata #uwaka #viwawa
Ещё видео!