Asilimia 89 ya wanawake wa umri wa kati ya miaka 15- 24 hawatumii kinga wanaposhiriki ngono na wapenzi wao ambao hawajui hali yao ya HIV. Haya ni kwa mujibu wa ripoti iliyotolewa leo na baraza la kitaifa la kudhibiti ukimwi huku kaunti ya Homabay ikiorodheshwa ya kwanza kwa idadi ya maambukizi mapya ya virusi hivyo. Na kama anavyotueleza Esther Kahumbi kati ya maambukizi elfu 88, elfu 12 ni kutoka kaunti hiyo ya Homabay.
Ещё видео!