Kiongozi wa chama cha muungano wa Azimio la Umoja One Kenya Raila Odinga ataelekea mahakama ya juu kesho kupinga matokeo ya uchaguzi wa urais wa tarehe 9 Agosti ambapo William Ruto alitangazwa mshindi. Wakizungumza wakati wa mkutano katika uwanja wa Kamukunji eneo bunge la Kibra, viongozi wa muungano wa Azimio one Kenya waliunga mkono kauli ya kiongozi wao kuelekea mahakamani wakisema wangetaka uhakiki wa matokeo ya kura ya urais kufanyika upya.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#railaodinga #kenyaelection2022 #KenyaDecides2022
Ещё видео!