Serikali ya Kenya imeitambua rasmi jamii ya Pemba kama raia; tunachambua kwanini imechukua muda mrefu kufikia hatua hii, na maana yake. Aidha ziara ya Papa Francis katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo inaendelea huku akishutumu unyonyaji wa rasilmali za DRC na bara Afrika. Na Peter Mwangangi.
#Pemba #PopeFrancis #DRC # PeterMwangangi #PapaFrancis
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili [ Ссылка ]
Ещё видео!