KILIMO BORA CHA KITUNGUU MAJI tumia mbegu bora ya MARS F1
kilimo cha zao la kitunguu kimewanufaisha wengi haswa wale wanaojua vyema taratibu zinazo hitajika.
East West Seed tunakupa muongozo wa Hatua muhimu za kuzingatia ili upate faida stahiki, Pia tuna mbegu bora za Vitunguu,tuna Mars F1 na Meru Super.
Mars F1 ni kitunguu chatora chenye uzao mkubwa.
East-West Seed Tanzania
KWA KILIMO BORA CHA MBOGA MBOGA TUMIA MBEGU ...
KILIMO CHA KITUNGUU MAJI:-
Jifunze kuzalisha mbegu za vitunguu
#mkulimasmart #shambadarasa
FAHAMU MBEGU BORA ZAIDI ZA VITUNGUU TANZANIA
1. JAMBAR F1
MBEGU YA KITUNGUU MARS F1
Hii ni mbegu inayofanya vizuri zaidi mazingira ya joto na Joto la wastani.
Ina rangi nyekundu iliyokolea
Ipo tayari kuvunwa baada ya siku 85 hadi 95 baada ya kupandikizwa
Hutoa tani 23 kwa ekari moja
Hudumu muda mrefu (miezi 6) bila kuharibika
Mavuno ya mbegu ya Jambar kwenye shamba darasa morogoro
SV 7030 F1
Hii ni mbegu inayofanya vizuri zaidi mazingira ya Baridi na Joto la wastani
Ina rangi nyekundu inayong'aa
Ipo tayari kuvunwa siku 75 baada ya kupandikizwa
Hutoa tani 23 kwa ekari moja
Hudumu muda mrefu (miezi 6) bila kuharibika
Shape yake ni nzuri zaidi na wala haitoi vipacha
Size yake ni medium to large
Mkulima akifurahia mavuno mengi kwa mbegu ya SV 7030
NEPTUNE F1
Hii ni mbegu inayofanya vizuri mazingira ya Baridi na Joto
Inakuwa haraka haraka na ina majani mengi yenye kuvutia
Ina rangi nyekundu Mpauko
Ipo tayari kuvunwa siku 95 hadi 100 baada ya kupandikizwa
Hutoa tani hadi 40 kwa ekari moja
Hudumu muda mrefu bila kuharibika
Shape yake ni nzuri haitoi vipacha
Size yake ni kubwa zaidi kuliko kitunguu chochote
Red Bombay, Red creole, Super Red Bombay, Mang'ola, Mang'ola red
Ещё видео!