Je naweza kupata mimba endapo nitafanya ngono/ mapenzi wakati wa hedhi????.
A. Ndio;
Ukweli ni kwamba unaweza kupata ujauzito endapo ukifanya ngono wakati wa hedhi kama ukiwa na mzunguko wako wa hedhi ambao ni mfupi wa siku 21 hadi 24.
B. Ndio;
Lakini pia unaweza kupata Mimba kama tu mzunguko wako wa siku haujawa vizuri na wenye tabia ya kubadilika badilika kulingana na mazingira au mambo mengine mengi tuu.
C. Hapana;
Ingawa kama mzunguko wako wa hedhi ni kuanzia siku 28 - 35 siyo rahisi kuweza kupata ujauzito endapo utafanya ngono wakati wa hedhi.
USHAURI WANGU KWAKO
Endapo mzunguko wako huwa unabadilika badilika au ni mfupi ni vema endapo utafanya ngono au mapenzi muda mfupi baada ya hedhi basi tumia njia za kuzuia mimba ili kuepuka kupata Mimba zisizopangwa!
NB;Ukiwa unaswali unaweza kuuliza hapa chini (kwenye comments za youtube).
Subscribe,Comment and Share
JapideAfya_Services
Your Health is Our Health
youtube.com/c/Dr.Mwanyika
Instagram as @JapideAfya_Services
Facebook page as @JapideAfya_Services
©Dr.Mwanyika.
#AfyaBora
#JapideAfya_Services
#MimbaHedhi
Ещё видео!