Kawira mwangaza amepoteza kiti chake cha ugavana meru. kwenye kikao kilichosheheni mihemko usiku wa kuamkia leo, maseneta haswa wa mrengo wa Kenya Kwanza walithibitisha mashtaka matatu dhidi ya Mwangaza. ni mara ya tatu kwa mwangaza kutimuliwa tangu alipochaguliwa gavana. mwangaza anatuhumiwa kwa kukiuka katiba na sheria zingine, kutumia vibaya ofisi yake na kukosa nidhamu.
Ещё видео!