#Niwewe #BandBeca #Ngomma
Performed by Band Beca
Written by Band Beca
Produced by BASSMAN
Mastering : BASSMAN
Video Director : Lynke Jr
Video Production: Film Brand
Naiboi Worldwide Studios
For Bookings contact : bookbandbeca@outlook.com
+254723723734
Connect with Band Beca on ;-
Instagram : [ Ссылка ]...
Facebook : [ Ссылка ]
Twitter : [ Ссылка ]
Download and stream Beca Music on ;-
Itunes : [ Ссылка ]
Apple Music : [ Ссылка ]
Boom play : [ Ссылка ]
Spotify : [ Ссылка ]
Mdundo : [ Ссылка ]
#BecaPraise
Lyrics
Carol
Bwana niko mbele zako
Mikono nainua
Natambua ufalme wako
Hosana
Becky
Baba niko mbele zako
Mikono nainua
Nitaimba sifa zako
Hallelujah
Chorus (Becky)
Ni wewe
Nani kama wewe
Ni wewe
Hakuna kama wewe ×2
Ooh hallelujah
Choir
Bwana niko mbele zako
Mikono nainua
Natambua ufalme wako
Hosana
Baba niko mbele zako
Mikono nainua
Nitaimba sifa zako
Hallelujah ×2
Chorus
Ni wewe
Nani kama wewe
Ni wewe
Hakuna kama wewe ×2
Bridge
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza
Upendo wako(wanijaza roho wewe ndiwe Mungu)
Na neno lako (lanijaza roho Mungu wa miungu)
Chorus (Carol)
Ni wewe
Nani kama wewe
Ni wewe
Hakuna kama wewe ×2
Verse 2
Na malaika wanaimba kwa furaha wakisema utukuzwe bwana
Na mataifa yasujudu yakikiri kwamba wewe ni mweza×3
Ni Wewe - Band BeCa (Official Video)Sms 'skiza 7917334' to 811
Теги
zuchuband becabaikokoBAHATI Feat. MEJJA - DEAR EX REMIXHarmonize ft Awilo Longomba & H babaRayvanny - NyamazaMasterpiece King X Otile Brownsautii solnyashinskinaiboiNi Wewe - Band BeCaNviiri the Storyteller - Niko Sawa ft BienMbosso Ft Spice Diana - Yesilly Paul x Miss P - MashallahLUKU - KHALIGRAPH JONES ft THE INDUSTRYOtile Brown X Kizz Daniel - Baby GoMR SEED x KATE ACTRESS - NDOAVIVIAN X PREZZO X Nyce Wanjeri - Uko Tu SawaLittle Mix - Confetti