Baadhi ya makocha wamelalamikia timu zao kuchezeshwa na marefa wasio waamini katika mashindano ya mpira ya Nyambuge CUP ameingia katika mzunguko wa nusu fainali.
Akizungumza Kocha wa Morani Fc Emanuel Raswai amesema kuwa, katika mechi kati yao na Kwaluwala Fc wamefungwa goli tatu lakini hajaridhika na matokeo.
Ещё видео!