''Yeye mwenyewe alisema nikifa mnioteshee miti siku hiyo hiyo''
Familia ya marehemu Leonard Massawe inaendeleza ndoto yake ya kupanda miti ya matunda makabarini ili kutunza mazingira.
''Dhumuni ni kuhamasisha jamii kulinda mazingira ili watu wasijengee makaburi kwa kuweka marumaru hivyo watamaliza mashamba''
Mwanaharakati huyo wa mazingira alihamasisha upandaji miti maeneo mbalimbali mkoani Kilimanjaro na aliamini watu wakiendelea kujenga makaburi kama wengi wanavyofanya sasa watamaliza mashamba yao
Mwandishi wa BBC Yusuph Mazimu alizingumza na mke wake alipomtembelea nyumbani kwake kijiji cha kifuni mkoani Kilimanjaro
.
.
.
#mazingira #Kilimanjaro #kupandamiti #Tanzania
Ещё видео!