Jeshi la polisi Mkoa wa Songwe limemkamata Veronica Petro (24), akituhumiwa kumuua mtoto Mageshi Usiga (7), ambaye ni mtoto wa mume wake kwa kosa la kupoteza ng’ombe wawili wakati akiwa machungani.
RPC wa Songwe, Theopista Malya amesema mtuhumiwa alitenda kosa hilo mwezi mmoja baada ya ng’ombe hao kupotea, ambapo alimpiga na kumkanyaga sehemu za kifuani na kichwani kisha kumtupa umbali wa mita 52 kutoka nyumbani kwao
Ещё видео!