Visa kadhaa vya wanafunzi wa vyuo vikuu kuuawa vimeripotiwa katika miaka ya hivi karibuni. Wengi wao huvamiwa na kuuawa nyakati za usiku na watu ambao mara nyingi hawatambuliki. kwenye makala maalum ya mazigazi chuoni mwanahabari wetu makori ongechi anaangazia mustakabali wa maelfu ya wanafunzi wa vyuo vikuu wanaoishi nje ya majengo ya shule na athari za usalama wanazokumbana nazo.
Citizen TV is Kenya's leading television station commanding an audience reach of over 60% and in its over 12 years of existence as a pioneer brand for the Royal Media Services (RMS), it has set footprints across the country leaving no region uncovered.
This is your ideal channel for the latest and breaking news, top stories, politics, business, sports, lifestyle and entertainment from Kenya and around the world.
Follow us:
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
[ Ссылка ]
Ещё видео!