Please watch: "FIKIA MALENGO YAKO KIRAHISI "
[ Ссылка ] --~--
Siku zote katika maisha ili ufanikiwe ni lazima ujijengee baadhi ya tabia zitakazo kufanya uyafikie malengo yako.
Zipo tabia nyingi zitakazokufanya ufikie maisha ya ndoto zako, lakin leo hii nitaongelea tabia moja muhimu sana.
Hii ni tabia inayotumiwa na watu wengi sana wenye mafanikio, na wengi wameeleza kuwa tabia hii ina mchango mkubwa sana katika mafanikio yao kwani walianza kufanya tabia hii kabla hata hawajapata mafanikio walionayo leo.
Tabia hii ni ya kujiwekea akiba (saving). Huu ni utaratibu utaokufanya uweze kubadili maisha yako kwa kiasi kikubwa sana kifedha, endapo tu utautilia maanani.
Kwa wale wanachuo, kama ukijenga tabia ya kujiwekea akiba kikamilifu, naamini hautokuwa katika kundi la wengi wenye kulalamikia tatizo la ajira.
Maana kwa kujiwekea akiba ukiwa chuoni hadi utakapomaliza, utakua umekusanya kiasi cha kutosha kuwa mtaji wa kufanya biashara yako mwenyewe.
Wengi wanashindwa kuweka akiba kwa kuwa wanakosa maarifa na misingi maalum ya savings au akiba.
Basi leo nakukaribisha sana tuangalie njia 5 bora zaidi zitakazofanya ufanikiwe katika swala zima la kuweka akiba au savings.
1: JIFUNZE KUWA BAJETI
2: JIEPUSHE NA KUWEKA VITU VYA GHARAMA VISIVYO VYA MSINGI AU (LUXURIES) KATIKA BAJETI YAKO:
3: JIEPUSHE NA MADENI
4: PINDI PESA IKIPATIKANA, ITUMIE KWENYE YALE MAMBO MUHIMU KWANZA:
5: JIEPUSHE NA ANASA ZINAZOEPUKIKA:
Na hayo ndio mambo matano muhimu sana kuyafuatilia ili kuweze kuwa mzuri katika kujiwekea akiba, tabia ambayo ni chachu ya mafanikio ya watu wengi sana wenye mafanikio ya kweli, na wengi wana lisisitiza sana jambo hili.
Sasa thamani ya elimu sio kupata cheti, bali thamani yake huonekana pale matendo ya huyo mwenye kuipata elimu hiyo yanapobadilika na kuwanufaisha wale wanaomzunguka na kufanikiwa kwa pamoja kama jamii.
Naamini wewe ni mwenye elimu juu ya jambo hili leo hii. Nenda kafanye unachostahili.
Kila la heri.
Usiache ku SUBSCRIBE na kuniachia mawazo yako kwenye COMMENTS, LIKE na SHARE PIA kwa wengine.
.
NIFUATE MITANDAONI
INSTAGRAM: [ Ссылка ]
TWITTER: [ Ссылка ]
FACEBOOK: [ Ссылка ]
LINKEDIN: [ Ссылка ]
.
For Business please send me an email
ezdenjumanne@gmail.com
Or leave a text/ Whatsapp : (+255)759191076
#SuccessPath #EachOneTeachOne #EzdenJumanne
FANYA HIVI UFANIKIWE KIFEDHA
Теги
Ezden JumanneMafanikiotimiza malengo yakosuccess pathtabia za mafanikioSwahili motivational speakerSwahili inspirational speakerHamasa ya leoFanya hivi ufanikiwe kifedhamafanikio ya kifedhasiri kuhusu fedhasiri za pesaakibajinsi ya kuweka akibaweka bajetijiepushe na luxurymadeniepuka madenifanya mambo muhimu kwanzaanasaulevi wa pombeuvutaji wa sigaramadawa ya kulevyaafrika kusinisouth africaxenophobia