#JAMBOTV
Hii ni full story kuhusiana na madai ya kutekwa kwa Mwanaharakati na Mwanasheria Alphonce Lusako leo, Alhamisi Desemba 05.2024
Jambo TV imefika kwenye Ofisi za 'Reach Out Tanzania' zilizopo Salmin Amour Street, karibu na Ofisi za Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA), jijini Dar es Salaam ili kufuatilia undani wa madai hayo,
Sambamba na hilo Jambo TV imezungumza kwa njia ya simu na Kamanda wa Polisi mkoa wa Kipolisi Kinondoni ili kupata kauli yake kuhusiana na suala hilo...
...........
Tufuatilie kwenye mitandao ya kijamii
►YOUTUBE: [ Ссылка ]
►INSTAGRAM: [ Ссылка ]
►TWITTER: [ Ссылка ]_
►FACEBOOK: [ Ссылка ]
►WEBSITE: [ Ссылка ]
Ещё видео!