𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
#wasafi #wasafitv #wasafifm
Jeshi la polisi Mkoani wa Shinyanga linamsaka dereva aliyekuwa akiendesha gari aina ya bus lenye namba za usajiri T402 EFH lililokuwa likifanya safari zake kutoka Mwanza kuelekea Dar es salaam kwa kusababisha ajali iliyopelekea vifo na majeruhi katika ajali iliyotokea hapo jana eneo la Ibadakuli manispaa ya Shinyanga.
Ещё видео!