Kaunti ya Kilifi itanufaika kutokana na ujenzi wa kiwanda cha kutengeneza nyaya cha gharama ya shillingi billioni 2.5. Kiwanda hicho kitaajiri vijana mia mbili kutoka kaunti hiyo na kitatengeneza tani elfu nne za nyaya kila mwezi kuanzia mwezi januari mwaka ujao.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: [ Ссылка ]
Follow us on Twitter: [ Ссылка ]
Find us on Facebook: [ Ссылка ]
Check our website: [ Ссылка ]
#KBCchannel1 #KBCNewsHour #KBClive
Ещё видео!