Mawakili wanaowakilisha walalamishi wakuu katika kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi mkuu Raila Odinga na Martha Karua, wameitaka mahakama ya upeo kubatilisha matokeo hayo wakidai kuwa tume ya uchaguzi IEBC ikiongozwa na mwenyekiti Wafula Chebukati haikuendesha shughuli hiyo kulingana na kikatiba. Wakiongozwa na Wakili James Orengo waliileza mahakama kuwa Chebukati alitumia vibaya mamlaka yake kama mweneyekiti hatua ambayo ilitia dosari matokeo yalioyotangazwa. Pia wameitaka mahakama kumchukulia hatua Chebukati kwa kuhujumu zoezi la upigaji kura.
Ещё видео!