Dr, Chris Mauki ni mtaalamu na mbobevu katika maswala ya mahusiano, Hapa anaelezea siri tano zitakazokusaidia kufanya mahusiano yako yastawi, kukuweka tayari kwa ajili ya kuingia kwenye mahusiano, kukusaidia kutatua migogoro na mambo mengine mengi unayopaswa kuyajua ili kukufanya imara na kukupa ujuzi zaidi katika eneo la mapenzi.
Kushiriki mijadala hii kwa njia ya whatsApp tuma neno WISDOM kwenda namba 0753825794.
Welcome to the hub of positive vibes. Watch more - Be more!
#Karibu_nyumbani
.
#kudumisha #mahusiano #mapenzi #ndoa
Ещё видео!