“..Sasa tunawafikira Azam”
Nahodha wa Yanga, Bakari Mwamnyeto akieleza kilichowapa ushindi kwenye mchezo wa leo huku nahodha wa Simba Mohamed Hussein akisema walifuata maelekezo lakini walishindwa kutumia nafasi..”…tumecheza vizuri sana”
FT: Yanga 1-0 Simba
Tukutane tarehe 11 LIVE #AzamSports1HD
#NgaoYajamii2024
Ещё видео!