Alpha Rwirangira - Nimengi
writer: Alpha Rwirangira
Audio: Madebeats
lyrics
Verse 1
Sijui nianzie wapi nimalizie wapi kukueleza
Mama tangu undoke nimengi yametokea
Makubwa namadogo yote nimeyaona
Mabonde nimeshuka
Milima nimepanda
Wabaya nawazuri wote nimewaona
Mabaya na mazuri yote nimeyapitia
Asiye funzwa na Mama ufinzwa na ulimwengu
Ila kwayote namshukuru aliye nilinda
Chorus
Natamani ungekuwepo
uyaone Mungu aliyotenda
Ni mengi nimengi sana X 2
( Times 2 )
Verse
Mungu ametuma malaika
Walio ni inua nilipo angukaa
Nabado wananiongoza
ndio maana najikongoja
Ona shule nimemaliza
Hata kuoa nina karibia
Natamani ungekuwepo
Ukasherekea
Nyota yangu ya mziki naona nayo inang’ara
Mashabiki wanaongezeka
Wanazidi kuni inua
Baba anakukumbuka kweli alinipigania
Ila kwa yote namshukuru aliye nilinda
Chorus
Natamani ungekuwepo
uyaone Mungu aliyotenda
Ni mengi nimengi sana X 2
( Times 2 )
.
.
.
Subscribe for more official content from Alpha Rwirangira:
.
Follow Alpha Rwirangira
Instagram: [ Ссылка ]
Facebook: [ Ссылка ]
Twitter: @AlphaRwirangira
.
.
.
Listen to Alpha Rwirangira
YouTube: [ Ссылка ]
Apple Music: [ Ссылка ]
Spotify: [ Ссылка ]...
Ещё видео!