JINSI YA KUWA SALAMA MBALI NA MASHAMBULIZI YA ADUI Sehemu ya Pili - Innocent Morris
Watu wengi wamekuwa wakishambuliwa na adui, na mashambulizi hayo yamekuwa yakishika. Sasa leo katika somo letu tutajifunza namna gani tunaweza kuwa salama hata pale adui atakapo tushambulia.
Yaweza kuwa huwa unashambuliwa ndotoni na mashambulizi hayo yanakupata, au unashambuliwa kazini kwako, kwenye biashara yako, kwenye ndoa yako, kwenye masomo yako, kwenye afya yako au sehemu yoyote ile. Njoo leo tujifunze jinsi ya kuwa salama mbali na mashambulizi ya adui.
"Zaidi ya yote mkiitwaa ngao ya imani, ambayo kwa hiyo mtaweza kuizima mishale yote yenye moto ya yule mwovu."
Waefeso 6:16
Somo hili litakusaidia kupiga hatua katika maisha yako ya kiroho.
Ubarikiwe sana.
Innocent Morris
+255652796450 (WhatsApp)
Instagram Page: holyspiritconnect
Facebook Page: Holy Spirit Connect
Contact: +255652796450 (WhatsApp)
Instagram Link:
[ Ссылка ]
Facebook Link:
[ Ссылка ]
YouTube Link:
[ Ссылка ]
Ещё видео!