Midahalo ya wanafunzi wa Shule za Upili za Ukanda wa Pwani inayojadili maswala ya kiuchumi na uhalifu katika kaunti za Pwani imeandaliwa katika kaunti ya Kwale. Midahalo hiyo ilihusisha shule kumi kutoka kaunti za Kwale, Mombasa na Kilifi na inalenga kukuza uwezo wa wanafunzi kutatua maswala yanakumba jamii kando na kuimarisha nidhamu yao shuleni.
Ещё видео!