Eneo la uchimbaji madini Tarime vijijini nchini katika mkoa wa Mara, Tanzania zoezi la kuhamasisha vijana juu ya kujikinga na virusi vya ukimwi chini mradi wa PEPFAR unaofadhiliwa na Marekani chini ya usimamizi wa CDC Tanzania. Ungana na mwandishi wetu akikuletea taarifa juu ya utoaji elimu juu ya kinga na huduma za kujipima katika eneo lenye watu wenye rika hatarishi kwa maambukizi. Endelea kusikiliza..
#uchimbaji #madini #machimbo #dhahabu #tarime #mkoawamara #virusi #ukimwi #vvu #voa #voaswahili #dunianileo #cdc #pepfar
- - - - -
#VOASwahili
Sauti ya Amerika - Idhaa ya Kiswahili inawafikia zaidi ya watu milioni 100 wanaotembelea tovuti, mitandao ya kijamii, radio na televisheni zetu. Tunawasilisha maudhui kuhusu Afrika Mashariki na Kati kwa nchi takriban 11 huko Afrika na wale walioko ughaibuni na kwingineko duniani. Vipindi vyetu vimejikita katika maudhui mbalimbali ikiwemo habari, vijana, wanawake, siasa, sayansi, teknolojia, afya, biashara, michezo, muziki na burudani na pia tunawashirikisha wasikilizaji wetu.
Ещё видео!