Hey Mambo vipi,
Watu Wengi wamekuwa wakiniuliza kwenye private message kuwa wanahisi kuna mtu anasoma message zao kwenye WhatsApp.
Mimi sio mtalaam wa maswala ya usalama kwenye mtandao ila ninachofahamu WhatsApp inakupa uwezo kuaccess message zako kupitia website.
Na hivi karibuni WhatsApp wanakupa uwezo kulink vifaa hadi vi4 kwa account yako ya WhatsApp.
Sasa kwenye video hii nitakuonyesha namna unayoweza kujua kama kuna kifaa kiaccess account yako, na kama hutambui kifaa hicho basi kwa urahisi utakiondoa kisiendelee access account yako.
#computer #programming #software #whatsapp
Ещё видео!