Mbunge Goodluck Mlinga ni mmoja wa wabunge waliozimake headlines kwenye bunge la 11, style yake ya uwasilishaji maneno umekuwa ukimuongezea sifa zake mara kwa mara.
June 14 2016 alisimama bungeni na kuchangia bajeti ya serikali kwa mwaka wa fedha 2016/2017 huku akiwakosoa wapinzani wanaotoka bungeni kumpinga naibu spika Dk. Tulia
Ещё видео!