Akiuliza swali bungeni leo asubuhi, Mh Askofu Gwajima mbunge wa Kawe ametaka serikali kueleza ni lini wananchi wanajishughulisha na shughuli za uvuvi katika jimbo la Kawe watapata fiber boats kwa ajili ya uokozi wanapopata madhira wakiwa kwenye shughuli za uvuvi.
Pia Askofu Gwajima amehoji ni lini serikali itawawezesha wavuvi kupata mikopo kutoka halmashauri
Ещё видео!