#DCJOKATE #MAMASAMIA
Mama Samia amchangia Mhe Jokate 'Tokomeza Zero'
Makamu wa Rais Bi. Samia Suluhu Hassan, leo Oktoba 27, amefanya ziara katika Wilaya ya Kisarawe na kukagua ujenzi wa mradi wa tenki la maji katika eneo la Mnarani na kukagua ujenzi wa barabara za lami.
Akihutubia katika ziara yake Mama samia amempongeza Mkuu wa wilaya ya Kisarawe, Jokate Mwegelo, kwa kuendeleza kampeni yake ya kutokomeza zero katika shule zote za sekondari zilizopo wilayani humo na kiisha ofisi yake ikatoa mchango.
SUBSCRIBE: Global TV Online: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Watch More Videos here: [ Ссылка ] Website: www.globalpublishers.co.tz FaceBook:
www.facebook.com/globalpublishers Instagram: www.instagram.com/globalpublishers Twitter: www.twitter.com/GlobalHabari Install Global App: ANDROID: [ Ссылка ] Install Global App: iOS: [ Ссылка ]
Ещё видео!